Utumikishwaji wa watoto katika biashara si tatizo jipya, linajitokeza katika maeneo mengi duniani, na hapa nchini limekuwa ...
Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa ...
Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), anawania nafasi hiyo akiwa sambamba na ...
Pamoja na kuwa na rasilimali nyingi, mikoa hii bado ina kiwango cha chini cha pato la mtu mmoja, hali inayochochea umaskini na kuzorotesha maendeleo ya wananchi.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa Mkoa wa Dar es Salaam, unaotarajiwa kuanza Machi 17 hadi 20. Mkoa huo ndio wa mwisho ku ...
Dawa ya deni kulipa” hivi ndivyo walivyosema Wahenga. Lakini msemo huu unaonekana kupewa kisogo na baadhi ya wasanii nchini ...
“Mhudumu aligonga mlango kwa nguvu, ile hali ilinikwaza kwa kuwa nilikuwa nimechoka, nilihitaji angalau saa sita hadi saba za kupumzika, hivyo sikuamka. Ni kawaida watu kuhisi njaa kali katika vipindi ...
“Mhudumu aligonga mlango kwa nguvu, ile hali ilinikwaza kwa kuwa nilikuwa nimechoka, nilihitaji angalau saa sita hadi saba za ...
Ndani ya kipindi cha takribani miezi mitatu kumeibuka wimbi la malalamiko kuhusu mikopo umiza maarufu kausha damu, huku ...
Watu wawili wa familia moja wamefariki dunia katika kijiji cha Kalenga kata ya Mofu Halmashauri ya Mlimba baada ya kupigwa na ...
Kwa miaka mingi, Mzee Ndanga amejiwekea utaratibu wa kufuatilia habari za ndani na nje, akisema anapenda zaidi kusoma habari ...
Kwa mara ya kwanza msimu huu, ameshuhudiwa Kibu Denis kwenye mchezo huo akifunga mabao mabao mawili katika dakika ya 55 na 66 na kutoa asisti mbili hivyo ameondoa gundu la kucheza zaidi ...