Tangu 2007, Hamas imekuwa chombo cha kiutawala katika Ukanda wa Gaza. Ilishinda uchaguzi wa bunge na kuimarisha mamlaka yake huko Gaza baada kumuondoa mpinzani wake, harakati ya Fatah, kutoka ...
Maelezo ya picha, Tareq, mvulana wa ki-Palestina mwenye umri wa miaka 10, ameketi juu ya rundo la vifusi huko Gaza, akiwa amevalia suruali ya dangirizi, sweta na mkoba wa manjano. 10 Februari 2025 ...