MKUU wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita, amezifariji familia mbili zilizopoteza watoto wanne, wakati wakiogelea kwenye bwawa lililokuwa likitumika katika ujenzi. Tukio hilo limetokea Februari 15, mwaka ...
Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa uwaziri katika Baraza la mawaziri la Tanzania, Tabitha Siwale amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86.