Mabishano makali yameibuka bungeni kufuatia sakata linaloendelea wilayani loliondo kaskazini mwa Tanzania huku mbunge Christopher Olesendeka wa CCM akisema kinachoendelea Loliondo ni batili. Hali hiyo ...
Bunge la nchi hiyo limempata Spika wake mpya atakayeongoza muhimili huo kwa kipindi cha miaka mitano, baada ya zoezi la uchaguzi lililofanyika hii leo bungeni jijini Dodoma. Kwenye uchaguzi huo wa ...